Msanii wa Bongo fleva "Rayvanny" ameachia tracklist ya Album yake mpya ya "TheBigOne' ambayo imepangwa kuachiliwa rasmi Disemba 13,2024......
Kwenye Album hiyo Chui amewashirikisha Wasanii mbalimbali kama DiamondPlatnumz, Alikiba, Harmonize, Phina, KingPromise, Mbosso, Darassa.......
Rayvanny pia amemshirikisha Mtumishi wa Mungu "BonifaceMwamposa"....
Je, Collabo gani Unadhani itakuwa kali?...
0 Comments