Ticker

6/recent/ticker-posts

RADIO ONE

Usiseme Sijakwambia

Ukim-block mtu, ni dalili tosha kwamba umeshindwa kumudu changamoto ndogo-ndogo Ukimpigia mtu akakwambia kuwa, n'takucheck baadae; ujue ndo imeisha iyo .Ukiona simu hujapiga wewe, basi hatakama maongezi yameisha usikate simu.. Msubiri akate aliyepiga .Ukituma meseji moja haijajibiwa, haina haja ya kutuma meseji nyingine (meseji-juu-ya-meseji), huko ni kujibembeleza. .Ukiona umempigia simu mtu na ukaona anakujibu majibu mafupi-mafupi ujue hayupo tayari kuwasiliana na wewe kwa wakati huo Ukimpigia mtu ambaye hujaongea naye kwa muda mrefu akakwambia "Sorry! Nimehamisha line, majina yapo kwenye simu kubwa..." ujue tayari alishafuta namba yako

Post a Comment

0 Comments