JINSI YA KUISHI NA MKEO:
Usimfokee, Usimtukane Mbele za watoto, Usimtukanie wazazi wake, Usimfokee Mbele zawatu hata Kama kakosea.
Jitahidi kuomba msamaha.
Hii itakusaidia kutoa kinyongo kwa Mkeo.
Jitahidi kumsifia mkeo. Hii inakusaidia mkeo kujiona wa thamani kwako
Jitahidi saana japo kwa Wiki Mara 3 ummkunbatie umwambie nakupenda hii itamjenga kisaikolojia na kuhusu kabisa hakukosea kukuchagua wewe
Jitahidi sana kumletea vizawadi japo vidogo vidogo kwani zawadi huondoa Au hufuta vikosa na maudhi madogo dogo kwenye ndoa.
Jitahidi sana kumtumia mkeo msg nzuri hasa za upendo na kumuonyesha kuwa wewe niwa thamani kwako maana wengi mnawanunulia cm nzuri wake zenu ila hatuchart,wala.kutuma.ujumbe wajinge mb wakosemee fb na grp.z whasp.tu na kuwapa nafasi majangiri kuchart nao na matokeo yake wanalubunika kwa vitu vidogo vidogo tumien.hizo. cm.mlizowanunuliaa.kujenga mahaba zaod.kushikaman na kupendana.
JINSI YA KULALA NA MKEO
Jitahidi sana ukiwa na mkeo kitandani kwenu usishike cm yako izime kabisa pia mpe mkeo nafasi ya kumsikiluza maono yake. Fanya mkeo japo Mara moja moja alale kifuani mwako au kwenye mkono wako kwenye kiwiko chako akifanye Kama mto. Hakikisha unampa kumbato mkeo pia hakikisha kitanda chako kinakuwa sehemu ya suluhisho la changamoto zenu na mkeo.
Mwisho hakikisha unamfurahisha vzr mpaka Alie machozi ya furaha yamtoke nazani umenielewa maana ukimchapa akilia kwa furaha atakuw na furaha atakuwa Hana hasira pia atakuwa no mwenye furaha. Kukuheshomu akazid kukupenda zaid

0 Comments