PICHA Ni kutoka kwa mwadada Mrembo MAJINA YAKE

🇧🇭Hessa Reyadh Mohamed Jasim Al-Isa
Amezaliwa nchini Kwao BAHRAIN Nchi ambayo imepatikana bara la Assia zinakopatikana Nchi kama 🇶🇦Qatar 🇴🇲Oman India 🇮🇳
Amezaliwa Jijini Manama ambapo ndipo Makao makuu ya Nchi Yao ya Bahrain. Ni Binti wa kwanza kwenye Familia ya Watoto Wanne ambao Wote ni Watoto wa kike Amezaliwa mwaka 1995🇧🇭
Ni mchezaji wa timu yake ya Taifa ya Bahrain ya Wanaweka (Association
Bahrain Football Association) (Jina Lingine Al-Ahmar (The Red)
akiwa kama Captain mwenza nafasi yake Uwanjani ni Kiungo Mashambuliaji Jezi huvalia Nambari 09.
Mchezaji wake Pendwa ni Leonel Messi Kutokea Argentina 🇦🇷
Aliwahi kuotumikia klabu ya AL NASSR ya Wanaweka msimu wa 2024 kabla ya Kupata majeraha ambayo yalimueka Nje kwa Mwaka mzimaa na mkataba ulipomalizikan hivi Sasa anaichezea klabu ya Daraja la Kwanza nchini SAUDI ARABIA UEFC
United Eagles Football Club ✅
ASILI YAKE. Baba yake ni Indian Mama yake ni Brazil 🇧🇷 na Bahrain
Rangi yake ni Nyeupe Chocolate Mrefu Mguu Nambari 38 Kiuno Size 34 😀✍🏽.
0 Comments