Ticker

6/recent/ticker-posts

RADIO ONE

Hawa No ReForm Wapeni Fomu wasain

"Kwa niaba ya wabunge tunaotokana na CCM sisi sera yetu tunasonga mbele, hawa wanaosema no reform, mimi nashauri kama kuna namna yoyote ya kuwapitisha hata mlango wa nyuma waruhusini wasaini tukutane nao, hawana cha kutuambia kama walitafuta mlango wa kutokea kutokwenda kusaini wapeni hata kwa ziada ili tukakutane nao majukwaani,"- Mbunge Musukuma "Mh Spika kwa kazi zilizofanywa na serikali ya mama Samia mimi sioni hoja hata ukizunguka huko mtaani unawaambia wapi kuzuia uchaguzi kuleta hoja, mwanzoni kulikuwa na hoja kama ESCROW na EPA watu wengi walitoka hata wale wasomi, lakini leo tunakwenda kuzuia uchaguzi kwa sababu ya madaraka hapana, wasitukimbie tunawasubiri, tukutane kitaa wote tunajua kuongea,"- Mbunge Musukuma

Post a Comment

0 Comments