Ticker

6/recent/ticker-posts

RADIO ONE

KAZI IPO: Rais wa Yanga Atoa Ishara Kali – Derby Haipo Kwenye Mpango, Mashabiki Wabaki na Maswali!"

KAZI IPO .
Rais wa Klabu ya Yanga ametoa ishara kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuwa baada ya kumalizana na Fountain Gate Fc jana,sasa wamebakisha mechi tatu tu kumaliza msimu huu wa NBCPL . . Ishara hiyo ameitoa akiwa na baadhi ya Wanachama wa Klabu hiyo Mwalimu Yanga,God Yanga ambao walimuuliza swali kuwa zimesalia mechi ngapi?akaonyesha kwa ya mkono waķe akihesabu 1,2,3. . Mechi hizo ni dhidi ya Dodoma Jiji,Namungo Fc na Tanzania Prisons na kwa tafsiri hiyo mchezo wa Derby haupo katika hesabu zao. . Swali ni je,iwapo hadi sasa Yanga wanasimamia msimamo wao,ni ipi hatma ya bingwa msimu huu? .

Post a Comment

0 Comments