
Mambo 3 ambayo kila Mwanamke anatakiwa kuacha akifikisha miaka 24!
(1) Achana na ushoga wa kuambiana kila kitu, rafiki yako anakuja kulala kwako, mnabadilishana nguo! Mnaazimana viatu na mawigi!
Kila kitu unachofanya na mwanaume wako unamuambia, kila ukipata mwanaume mpya unamuambia na kumuelezea shoga yako! Dada iko hivii, shoga yako kashakuchoka, anakuangalia tu jinsi unavyojishaua!
Mwenzako hajawahi kutongozwa mwaka wa nne! Mahusiano yake yote ni na wapare hatawahi kuhongwa hata pesa ya kununulia P2 lakini wewe kila siku nikujishaua na vitu unavyonunuliwa! Asipomchukua atakuharibia!
(2) Kuzururazurura na shoga yako kila sehemu; Kila unapoenda uko naye, hutoki peke yako ukaonekana wewe ni kuzunguka naye, kibaya zaidi hata mwanaume wako akitaka kukutoa out yupo, hajivungi na wewe umemganda unaona aibu kumuambia natoka na mtu wangu!
Dada ukiona shoga yako kila ukitoka anakuganda ni kwamba hana mwanaume au kama yupo naye si wakueleweka, kama anasikia raha kunywa bia za mwanaume wako akiwa na wewe basi hata akiwa peke yake watakunywa pamoja!
Usidhani yeye yhapendi, usidhani eti kwakua ni rafiki yako anakutakia mame ana anfurahia jinsi mkitoka mnavyodekezana! Wakati wewe unaona kama umemtoa out mwenzako anaona kama vile umeenda kumringishia, tukio atakalokupiga hata sheteni atasubiri!
(3) Hakuna mwanaume anapenda mwanamke kama wewe ambaye huna siri zako, kila kitu ni marafiki, unaweza kuwa na sura nzuri lakini kama mdomo haufungi ni suala la muda tu utaachika.
0 Comments