Ticker

6/recent/ticker-posts

RADIO ONE

MWANAMKE MWENYE UWEZEKANO MKUBWA KUKUSALITI UNAPOKUA NAE KWENYE MAHUSIANO.

MWANAMKE MWENYE UWEZEKANO MKUBWA KUKUSALITI UNAPOKUA NAE KWENYE MAHUSIANO.
Kasi ya wanawake kusalit inaongezeka siku HADI siku, mwanaume anaweza kujiuliza swali hili,ni mwanamke gani itakua rahisi kunisaliti nikidate naye? kama nmeweza kumtongoza mke wa mtu akanikubali je ni kioa itakuwaje?? Si na wangu wata mtongoza na atakubali? Kuna kesi ya wake za watu kuwangangania michepuko mara baada ya kuanza usaliti. Hapa nmekuwekea viashiria vinavyoweza kukusaidia kujua mwanamke uliyenaye au utakaye kua nae anawezakukusaliti muda wowote bila wewe kujua au kwa kujua. #VIASHIRIA 1. Anayeboreka kirahisi. Anayeshindwa kujipatia furaha wao wenyewe kiasi kwamba company yake kubwa ni mumewe, ikitokea mume hayupo, au mara nyingi wamezoea kuchart au kuongea muda mwingine mara kwa mara na Wapenzi wao, ikitokea kitu hicho hakipo mwanamke ni rahisi kutafuta mtu wa kumchangamsha, na hatimae huchepuka. 2. Uvivu wa kushindwa kujishughulisha Wanawake wanaoendekeza uvivu wa kutojishughulisha hua tegemezi, na muda wote atategemea kwa mwanaume au wanaume, kwa hivyo kama wewe ni mwanaume na upo na mwanamke wa aina hii basi muda wowote utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya mkeo, tegemea kusalitiwa ili mkeo apate mahitaji yake. Inaboa wakat mwingine mwanamke hawezi hata kujinunulia vocha ya 500,kila kitu atategemea kwa mwanaume. 3. Mwanamke anayedeka Mwanamke ambaye anataka afanyiwe kila kitu, hata taa iliyoungua chumbani anataka otolewe bulb 💡, umuekee mpya yeye hawezi,mwanamke hawezi hata kusogeza kochi asafishe uvunguni. Mwanamke anayetaka kufanywa wa thamani hua anadumaa kiakili, mwanaume akiwa busy na kushindwa kumdekeza hivi huyu nae atataman kua busy na mtu mwingine wa kumdekeza. 4. Mwanamke anayependa pesa Mwanamke mwenye tamaa ya vitu vikubwa na vya gharama. Mfn mwanamke yupo hotel ameagiza chakula mara anaingia mwanaume, unajua kuna wanaume Wanapenda wanawake wenye matako makubwa na wenye kuwachangamkia, au wanawake warembo wanaovutia, unakuta mwanaume anasogeza kiti anakaa na mwanamke wako pale, mara maongez yakishanoga utasikia, anajibebisha anaanza kusema afadhali hata umekuja, unilipe chakula, hapa sikua na kitu kabisaa. Huyu ni rahisi kuchepuka. 5.Mwanamke anayependa tendo la ndoa mara kwa mara zaid kuliko mume wake anavyopenda. Kama mwanamke anapenda ngono kuliko mume, hasa yule aliyewahi kua na Wapenzi wengi kwa wakati mmoja hatotosheka,tegemea tu ataliwa na wengne, Labda yule mwanamke anayehangaika kumpa raha mume wake ili apewe raha zaidi, lkn kama ni mwanamke anapenda kufanyiwa zaidi kuliko kufanya. Duh ataliwa. 6. Mwanamke anayependa sifa, kusifiwa. Mwanamke anayetumia muda mrefu kujipamba,kujiremba kuvaa nguo za kichokozi,mara matiti kaacha wazi, mara kifua, huyu anapenda attention na kusifiwa, unavutia, umependeza, ikitokea humsifii atajiweka karibu na wanaume wengne kusifiwa na hivyo ni rahisi kuchepuka. Akitembea na mumewe asifiwe 7. Mwanamke anayependa sherehe, kutoka na matukio atachepuka kama mjusy. 8. Mwanamke anayependa kua na marafik wengi wa kiume Kuna wanawake hujisifia kua na marafik wa kiume, tafiti znaonesha kwa mwanamke inawezekana kuishi na mwanaume na kumfanya rafiki lkn kwa mwanaume haiwezekani, mwanaume ameumbwa kwa matamanio kwa atatamani tu, na hisia zikishajengeka hapa, mwanamke ni rahisi kuchepuka. 9. Mwanamke mwenye marafik wazinzi, ataiga tabia za wenzie, wanawake walioachwa, wasio kwenye mahusiano na mtu mmoja. 10. Mwanamke ambaye alishawahi kusalitiwa, huyu ipo siku anaweza kukusalit maana kwenye akili yake tayari kuna jinamizi limekaa limemwaminisha wanaume sio waaminifu hivyo ataishi na wewe lkn naye hatokua mwaminifu kwa Mentality hii. Mwanamke msaliti aliyewahi kusalit nyuma na hajakamatwa pia anauwezekano wa kuendelea kua msalit hasa pale atakapo kutana na utamu mpyaa. Lazima ufahamu mazingira, tabia au jambazi linaloweza kuingia na kumpora mwenzako.

Post a Comment

0 Comments