
Siri Za Kuuteka Moyo Wa Mwanamke Na Kumfanya Abaki Kwako na Kukuwaza Kila MUDA
1: LOVE her the Way She Look Like ( MPENDE Jinsi Alivyo)
KUMPENDA Mwanamke Sio Kumpa Vitu Kama Ulivyofundishwa.
Mwanamke Njaa Yake Ipo Kwenye Mambo Haya Ili Ajisikie KUPENDWA.
Njaa Ya kwanza; MPE MUDA WAKO
Hii Haijalishi Uko Bize Au La! Mwanamke Anataka Muda WAKO ili asikie KUPENDWA.
So Dear Men don't be Busy to the extent Kwamba HAPATI Muda Wako.
Usipompa Muda Wako,kakitokea Hata Kikarungu Yeye kikampa Muda Ujue imekulamba Mzee.
Give Her Your Total Quality Time 😉 ( Utafikiri nilikusomesha😂
Usipompa Muda Wako, Atampa Hata Shetani Wajadili Jinsi Ya Kukuua 🥱.
Naongea Kama Utani Lakini "Woman Is So Complicated Creature"
Njaa Ya Pili; Mfanye Kuwa Kipaumbele.
Baada Ya Mungu, Nafasi Ya Pili MPE Yeye, Sio Marafiki Zako, Sio Pesa Zako.
Ukiwa Mbele Za Wengine Ujivunie Yeye.
2: CARE ( UMJALI)
Kumjali ni Kumhudumia Mahitaji Yake Bila Kuwa JOHN SINA😂
Sio Kila Siku Unasema "SINA"....
Usikubali Mwanamke Wako APAUKE, Mpendezeshe.
Kumbuka " When A Woman Is Happy, Everything Is Happy"
Mwanamke wako Akifurahia, michongo Yako inatiki
... Anza Mazoezi Saizi Hata Kabla Hujamuoa, Take Care Of her Small Staffs.
TAHADHARI, Usimhudumie Kama Vile Unamhonga Akila Kona UTAJIUA😂
Before Sijamuoa Yule Mrembo Msukuma Nilianza KUJIPA Mazoezi Ya KUMHUDUMIA
Sikuwa Nataka Kusikia Hajala Labda Anifiche Yeye kwa Sababu Hakuwa Omba Omba
Nakumbuka "Siku Moja Nilimuuliza Kwa Simu"👇
MIMI; Hello Baby Sarah Hivi Kwanini Huwa Huniombi PESA?
Mrembo Sarah akajibu;👇
"Mwanaume Anayejitambua Siwezi KUMFUNDISHA WAJIBU wake"🤔
Hili Jibu lilikuwa Very Critical Kinoma Wazee.
Wazungu wanasema "Practice Makes Perfection"✍️
Mazoezi Yanakufanya Uwe Mkamilifu...
Ukianza Mazoezi Sasa, Mkiingia Kwenye Ndoa Hutateseka.
"Mwanaume Usisubiri Mwanamke wako Akuombe Msapuraizi"
wanawake WENGI Akipenda Sio rahisi Kukuomba Pesa, Sio WOTE lakini.
TO DO IS TO DARE
0 Comments