Estevao alitawazwa jina 'Messinho' - iliyotafsiriwa kama 'Messi mdogo' - kupitia mchezo wake katika ligi kuu ya Brazil, na ameanza vyema tangu ajiunge na Chelsea baada ya Kombe la Dunia la Vilabu
source https://www.bbc.com/swahili/articles/c208e891794o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments