Tofauti na soka la wanaume ambako wachezaji hupata mishahara ya mamilioni kwa mwaka, wachezaji wanawake wengi kwa mwaka mwaka 2025 hupata kati ya $100,000 hadi $600,000 kwa wachezaji wa ngazi ya juu kabisa.
source https://www.bbc.com/swahili/articles/c0r9qqndpy0o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments