Hali hii ya ununuzi wa dharura imehusishwa moja kwa moja na hofu ya kufanyika maandamano mengine ambayo yamepigwa marufuku na Jeshi la Polisi tarehe 9 Desemba. Serikali imewakikishia usalama wananchi.
source https://www.bbc.com/swahili/articles/c1dzxd7dqego?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments