Katika sherehe ya kusaini, Rais Tshisekedi na Kagame hawakupeana mikono na walionekana kukwepana, lakini hilo halikumzuia Trump kusisitiza kwamba makubaliano hayo ni “muhimu kwa Afrika na dunia”.
source https://www.bbc.co.uk/swahili/live/cgr1xkdge0gt?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments