Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema nchi hiyo inaweza kusimama kwa miguu yake bila misaada, ingawa amekiri misaada ni muhimu na inahitajika na kupungua kwake huzua mtikisiko.
source https://www.bbc.com/swahili/articles/c997mm44p98o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments