Karim Adeyemi anataka kujiunga na Arsenal badala ya Manchester United, Jadon Sancho anaambiwa atalazimika kupunguza nusu ya mshahara wake ili kujiunga na Borussia Dortmund, na Robert Lewandowski akataa ofa kutoka Fenerbahce.
source https://www.bbc.com/swahili/articles/c898l7zj88yo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
0 Comments